Ufafanuzi wa -bishi katika Kiswahili

-bishi

kivumishi

  • 1

    -enye kupenda ubishi.

    kaidi, shindani, shupavu, katavu

Matamshi

-bishi

/bi∫i/