Ufafanuzi wa -bivu katika Kiswahili

-bivu

kivumishi

  • 1

    (kwa tunda) lililoiva.

    ‘Mapapai mabivu yameliwa yote’
    -pevu

Matamshi

-bivu

/bivu/