Ufafanuzi wa -buge katika Kiswahili

-buge

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kula vitu vidogovidogo k.v. karanga, agh. kwa kujificha.

Matamshi

-buge

/bugɛ/