Ufafanuzi wa -dogo katika Kiswahili

-dogo

kivumishi

 • 1

  kilichopitwa na kingine kwa ukubwa; kisichokuwa kikubwa.

  ‘Mtoto mdogo’
  katiti, chinjo, asighari, saghiri, chembe

 • 2

  ‘Walihudhuria watu kidogo tu’
  chache

Matamshi

-dogo

/dɔgɔ/