Ufafanuzi wa -dugi katika Kiswahili

-dugi

kivumishi

  • 1

    -sio na makali.

    ‘Kisu kidugi’
    butu

Matamshi

-dugi

/dugi/