Ufafanuzi wa -enu katika Kiswahili

-enu

kivumishi

  • 1

    mzizi wa kivumishikimilikishi cha nafsi ya pili katika wingi; -a nyinyi.

Matamshi

-enu

/ɛnu/