Ufafanuzi wa -enye katika Kiswahili

-enye

kivumishi

  • 1

    -iliyo na kitu au hali fulani.

    ‘Mtu mwenye ujuzi hunufaika’

Matamshi

-enye

/ɛɲɛ/