Ufafanuzi wa -erevu katika Kiswahili

-erevu

kivumishi

  • 1

    -enye akili nyingi.

  • 2

    -enye hila au ujanja mwingi.

    labibu, janja

Matamshi

-erevu

/ɛrɛvu/