Ufafanuzi wa -eusi katika Kiswahili

-eusi

kivumishi

  • 1

    -enye giza; kinyume cha -eupe; -enye utusitusi.

  • 2

    -isiyo na uzuri.

    ‘Roho yake nyeusi’
    -baya

Matamshi

-eusi

/ɛwusi/