Ufafanuzi wa -pi katika Kiswahili

-pi

kiwakilishi

  • 1

    mzizi wa neno linalotumika kuulizia jambo fulani.

    ‘Kitabu kipi?’

Matamshi

-pi

/pi/