Ufafanuzi wa -pumbavu katika Kiswahili

-pumbavu

kivumishi

  • 1

    -siotumia akili; -sioweza kuelewa jambo.

    ‘Kitendo cha kipumbavu’
    bunga

Matamshi

-pumbavu

/pumbavu/