Ufafanuzi wa -pya katika Kiswahili

-pya

kivumishi

 • 1

  -a sasa; -a siku hizi.

  ‘Huu ni mtindo mpya’

 • 2

  -siotumika sana.

  methali ‘Kipya kinyemi kingawa kidonda’
  jadidi

Matamshi

-pya

/pja/