Ufafanuzi wa -roho katika Kiswahili

-roho

kivumishi

  • 1

    -enye tamaa ya vitu, agh. chakula, na kutaka kupata kwa wingi kuliko wengine.

    ‘Mtoto huyu ni mroho sana’

Asili

Kar

Matamshi

-roho

/rɔhɔ/