Ufafanuzi wa -rongo katika Kiswahili

-rongo

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa ukweli; -enye udanganyifu.

    ‘Mtu huyu mrongo sana’

Matamshi

-rongo

/rɔngɔ/