Ufafanuzi wa -tukutu katika Kiswahili

-tukutu

kivumishi

  • 1

    -sio tulia mahali pamoja, agh. kwa watoto.

    ‘Mtoto mtukutu’
    -tundu

Matamshi

-tukutu

/tukutu/