Ufafanuzi wa -wi katika Kiswahili

-wi

kivumishi

 • 1

  kizamani -sio na faida.

 • 2

  -siofaa.

  ‘Mtu huyu ni muwi sana’
  ‘Kitendo ulichofanya ni kiwi’
  -baya, -ovu

Matamshi

-wi

/wi/