Ufafanuzi wa -zima katika Kiswahili

-zima

kivumishi

 • 1

  -liyo kamili; -siyo na upungufu au hitilafu.

  ‘Wewe u mtu mzima sasa’
  ‘Sasa baiskeli yangu ni nzima’
  kamili

 • 2

  -enye afya; -enye kutokuwa na ugonjwa.

Matamshi

-zima

/zima/