Ufafanuzi wa -zinifu katika Kiswahili

-zinifu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya uasherati; -enye tabia ya kuzini.

Asili

Kar

Matamshi

-zinifu

/zinifu/