Ufafanuzi wa Epifania katika Kiswahili

Epifania

nominoPlural Epifania

Kidini
  • 1

    Kidini
    sikukuu ya Kikristo ya kukumbuka Mamajusi waliposafiri kumwona na kumtuza Yesu alipokuwa mchanga.

Asili

Kla/Kar

Matamshi

Epifania

/ɛpifanija/