Ufafanuzi wa Jihadi katika Kiswahili

Jihadi

nominoPlural Jihadi

Kidini
  • 1

    Kidini
    tendo la Mwislamu kufanya juhudi na kujitolea kwa nafsi yake au mali yake katika kutimiza amri za Mungu na kuzieneza.

  • 2

    Kidini
    vita wanavyopigana Waislamu kutetea dini yao.

Matamshi

Jihadi

/ʄihadi/