Ufafanuzi wa Mrima katika Kiswahili

Mrima

nominoPlural Mrima

  • 1

    ukanda wa pwani wa Afrika Mashariki kiasi cha kilomita ishirini kwenda bara.

  • 2

    sehemu ndogo ya mwambao wa Tanzania kati ya Winde na Mbwamaji ambapo wenyeji wake wanaitwa Wamrima.

Asili

Kar

Matamshi

Mrima

/mrima/