Ufafanuzi wa Olimpiki katika Kiswahili

Olimpiki

nomino

  • 1

    mashindano ya kimataifa ya michezo mbalimbali ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne.

Asili

Kng

Matamshi

Olimpiki

/ɔlimpiki/