Ufafanuzi wa Rajabu katika Kiswahili

Rajabu

nominoPlural Rajabu

  • 1

    Kidini
    mwezi wa saba wa mwaka wa Uislamu.

  • 2

    mfunguo kumi.

Asili

Kar

Matamshi

Rajabu

/raʄabu/