Ufafanuzi wa aathari katika Kiswahili

aathari

nominoPlural aathari

  • 1

    masalio ya vitu na utamaduni wa watu fulani k.v. magofu ya makaburi, misikiti, ngome, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

aathari

/a:θari/