Ufafanuzi wa abadan! katika Kiswahili

abadan!, abadani!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumika kusisitiza jambo linalokanushwa; hata kidogo.

    ‘Mtu huyu haridhiki abadan’
    asilani!, kamwe!, katu!, kabisa!, sini!, bilikuli!

Asili

Kar

Matamshi

abadan!

/abadan/