Ufafanuzi msingi wa abiri katika Kiswahili

: abiri1abiri2abiri3

abiri1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  vuka mto au ziwa kwa chombo cha majini k.v. meli, mashua, n.k..

 • 2

  safiri kwa chombo cha usafiri.

Asili

Kar

Matamshi

abiri

/abiri/

Ufafanuzi msingi wa abiri katika Kiswahili

: abiri1abiri2abiri3

abiri2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  eleza jambo litakalotokea.

  bashiri, tabiri

 • 2

  eleza jambo kwa ufasaha.

Asili

Kar

Matamshi

abiri

/abiri/

Ufafanuzi msingi wa abiri katika Kiswahili

: abiri1abiri2abiri3

abiri3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  jifunza jambo kutokana na mfano fulani.

  jali, tahadhari

Asili

Kar

Matamshi

abiri

/abiri/