Ufafanuzi wa abra katika Kiswahili

abra

nominoPlural abra

  • 1

    nafasi ya kufanya jambo.

    ‘Sijapata abra ya kukutembelea’
    fursa

Asili

Kar

Matamshi

abra

/abra/