Ufafanuzi wa achama katika Kiswahili

achama

kitenzi sielekezi

  • 1

    fungua sana kinywa k.v. mtu anapopiga mwayo au anaposhangaa.

Matamshi

achama

/at∫ama/