Ufafanuzi wa achana katika Kiswahili

achana

kitenzi sielekezi

  • 1

    tengana na mtu au kitu; kuwa mbalimbali.

    ‘Ali na mkewe wameachana’

Matamshi

achana

/at∫ana/