Ufafanuzi wa achia katika Kiswahili

achia

kitenzi elekezi

  • 1

    ruhusu kitu au mtu atende jambo.

    ‘Achia mti uanguke’
    ‘Usimwachie mtoto anifuate’
    halifu