Ufafanuzi wa achisha katika Kiswahili

achisha

kitenzi elekezi

  • 1

    zuia mtu asiendelee kufanya jambo fulani.

    ‘Mama amemwachisha ziwa mtoto’
    ‘Juma amemwachisha kazi mkewe’
    likiza

Matamshi

achisha

/at∫i∫a/