nominoPlural ada
- 1
kanuni, mila au desturi zinazofuatwa na watu katika kutenda jambo.
‘Ada za harusi’desturi - 2
mazoea ya kufanya jambo.
methali ‘Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo’
nominoPlural ada
- 1
malipo yanayotolewa ili kupata huduma k.v. elimu, uanachama au tiba.
‘Lipa ada ya shule’kodi
Asili
Kar