Ufafanuzi wa adeade katika Kiswahili

adeade

nomino

  • 1

    udhaifu wa mwili; hali mbaya ya afya.

Matamshi

adeade

/adɛadɛ/