Ufafanuzi wa adhifari katika Kiswahili

adhifari

nominoPlural adhifari

kishairi
  • 1

    kishairi harufu mbaya inayotokana na jasho.

    gugumo, kikwapa

Asili

Kar

Matamshi

adhifari

/aðifari/