Ufafanuzi wa adhiri katika Kiswahili

adhiri

kitenzi elekezi

  • 1

    vunjia mtu heshima.

    aibisha, tweza, fedhehi, hizi, tehemu, umbua, beza, dharau

Asili

Kar

Matamshi

adhiri

/aĆ°iri/