Ufafanuzi msingi wa adili katika Kiswahili

: adili1adili2

adili1

kitenzi sielekezi

  • 1

    tenda haki na wema.

Asili

Kar

Matamshi

adili

/adili/

Ufafanuzi msingi wa adili katika Kiswahili

: adili1adili2

adili2

kivumishi

  • 1

    -enye haki.

Asili

Kar

Matamshi

adili

/adili/