Ufafanuzi wa adilifu katika Kiswahili

adilifu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kutenda haki na kutopendelea.

    ‘Mahakama adilifu’

Asili

Kar

Matamshi

adilifu

/adilifu/