Ufafanuzi wa admeri katika Kiswahili

admeri

nominoPlural madmeri

Kijeshi
  • 1

    Kijeshi
    ofisa mkuu wa jeshi la wanamaji.

Asili

Kng

Matamshi

admeri

/admɛri/