Ufafanuzi wa afadhali katika Kiswahili

afadhali

kielezi

  • 1

    vyema zaidi.

    methali ‘Afadhali kenda shika nenda kuliko kumi nenda rudi’
    hajambo, falau, aula, bora, heri, hobe!

  • 2

    ahueni, nafuu

Asili

Kar

Matamshi

afadhali

/afaĆ°ali/