Ufafanuzi wa afanalek! katika Kiswahili

afanalek!

kiingizi

  • 1

    neno litumikalo kuonyesha mshangao wa jambo au kitu fulani.

    lo!, salaale!

Asili

Kar

Matamshi

afanalek!

/afanalɛk/