Ufafanuzi msingi wa afande katika Kiswahili

: Afande1afande2

Afande1

nomino

Kijeshi
  • 1

    Kijeshi
    jina la heshima na utii ambalo askari humwita mkubwa wake.

Asili

Ktu

Matamshi

Afande

/afandÉ›/

Ufafanuzi msingi wa afande katika Kiswahili

: Afande1afande2

afande2

nomino

  • 1

    mwanamume mwenye kulawiti watu wengine.

    mlawati, basha, mfiraji, mende, mula

Asili

Ktu

Matamshi

afande

/afandÉ›/