Ufafanuzi wa Afrikanaizesheni katika Kiswahili

Afrikanaizesheni

nominoPlural Afrikanaizesheni

  • 1

    sera ya kuwapa Waafrika kazi za madaraka kwa kuwaondoa wageni wakati nchi za Afrika zilipokuwa zikipata uhuru.

Asili

Kng

Matamshi

Afrikanaizesheni

/afrikanajize∫ɛni/