Ufafanuzi wa Afro katika Kiswahili

Afro

nominoPlural Afro

  • 1

    mtindo wa kuacha nywele, hasa za Kiafrika au za koto au kipilipili zikuwe nyingi.

Asili

Kng

Matamshi

Afro

/afrɔ/