Ufafanuzi wa afwaji katika Kiswahili

afwaji

nominoPlural mawaji

kishairi
  • 1

    kishairi kikundi cha watu.

  • 2

    kishairi kikundi cha watu wenye silaha.

    kikosi

Asili

Kar

Matamshi

afwaji

/afwaʄi/