Ufafanuzi msingi wa afya! katika Kiswahili

: afya!1afya!2

afya!1

kiingizi

 • 1

  neno litumikalo kumtakia uzima mtu anapopiga chafya.

  ‘Afya Kua kama mgomba, mnazi unakawia’
  ‘Afya Kulia juu, chini ku moto’

Ufafanuzi msingi wa afya! katika Kiswahili

: afya!1afya!2

afya!2

kiingizi

 • 1

  neno linalotumiwa na watoto kushawishiana kufanya jambo.

  ‘Afya Tukaangue maembe’

Asili

Kar

Matamshi

afya!

/afja/