Ufafanuzi wa aga katika Kiswahili

aga

kitenzi elekezi

  • 1

    omba ruhusa ya kuondoka; sema kwaheri.

Matamshi

aga

/aga/