Ufafanuzi wa agana katika Kiswahili

agana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    takiana heri.

  • 2

    kubaliana na mtu kufanya jambo.

Matamshi

agana

/agana/