Ufafanuzi wa Agano la Kale katika Kiswahili

Agano la Kale

nominoPlural Agano la Kale

Kidini
  • 1

    Kidini
    sehemu ya kwanza ya maandiko ya Biblia yenye vitabu 39 kwa Waprotestanti na 46 kwa Wakatoliki.

Matamshi

Agano la Kale

/aganɔ la kalɛ/