Ufafanuzi msingi wa ago katika Kiswahili

: ago1ago2

ago1

nomino

  • 1

    mahali ambapo watu hukaa kwa muda kupumzika au kufanya kazi maalumu.

    kigono, kambi, kituo, malago

Matamshi

ago

/agɔ/

Ufafanuzi msingi wa ago katika Kiswahili

: ago1ago2

ago2

nomino

Matamshi

ago

/agɔ/