Ufafanuzi wa ahirisha katika Kiswahili

ahirisha

kitenzi elekezi

  • 1

    chelewesha jambo kwa makusudi ili lifanyike baadaye.

    ‘Ahirisha mkutano’

Asili

Kar

Matamshi

ahirisha

/ahiriāˆ«a/